dogo kaitwa kwenye timu yake ya taifa ya uholanzi
![]()
Tahith Chong,dogo yuko vzuri sana
Ni dogo wa timu yetu?Tahith Chong,dogo yuko vzuri sana
Ndio anachezea timu ya vijanaNi dogo wa timu yetu?
Ooh asante kwa taarifa.Ndio anachezea timu ya vijana
We jamaa kule kwenu ulikula ban? Maana muda wote unapatikana huku kwa wekundu.Nilimaanisha kuprove wrong kiuchezaji ki-chemistry partnership. Umeongelea partnership ya Pogba na FELLAIN haifanyi kazi , Wenger pia ameshalaumiwa kwa jambo kama hilo la selection ya baadhi ya wachezaji mfano Monreal, Giroud Sanchez as a CF lakini akanga'ang'nia na mwishowe wapenzi wakaona Wenger was right, labda ndivyo Mourinho anavyoona kwa combination ya Pogba na FELLAIN
Nawaombea mema lecister wafanye vizuri uefa ingawa mimi ni united famHabari wakuu!! Nilipotea humu si kwa makusudi/vipigo ila ni ramani tu za maisha zilinitenga na soka, Poleni sana wanaunited wenzangu kwa kipindi kizito tulichopitia aiseee ilikuwa job true true!!!anyway yalishapita tusonge mbele.....
Pia niwapongeze wote kwa ushindi wa Leicester city,pamoja tutafika tu mdogo mdogo....... GGMU
Uyo jamaa namuelewa sana kiraka wa ukweli labda golini tu ila kwingne kote anatusua weka 6,3,4,5,11,8,9,10 yuko saafi sanaView attachment 410710
Akili nyingi sana blind the special one angekubali kumwachie aende inter au barcelona tungejutia sana
Hapo Martial angeanza badala ya Lingard...I'm just saying ...the Boss knows more..Mou amesikia kilio cha wadau,
De Gea,
Valencia, Baily, Smalling, Blind
Hererra, Pogba, Lingard
Mata, Rashford, Ibrahimovic
Walete Stockcity Walete......
HATUTAKAGI UJINGA....!!!!
Huyo Martial ni takataka kabisa hatakiwi kuchezea timu kubwa kama hii, ingewezekana tuwauzie kabisa Arsenane. HAPO BADALA YA LINGARD ANGEMUWEKA YOUNG, KOMBINATION YA YOUNG NA VALENCIA NI HATARI TUPU....Hapo Martial angeanza badala ya Lingard...I'm just saying ...the Boss knows more..
Hapo Martial angeanza badala ya Lingard...I'm just saying ...the Boss knows more..