BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,937
Unajua mpira uko hv kama hujui ww hujui tu fella ni mchezaji wa kutengenezwa sasa anapata tabu akicheza na mafundi waliozaliwa nao hahahahmchezaji hana kiwango halafu anapangwa
Unajua mpira uko hv kama hujui ww hujui tu fella ni mchezaji wa kutengenezwa sasa anapata tabu akicheza na mafundi waliozaliwa nao hahahahmchezaji hana kiwango halafu anapangwa
huyo wa benchiTimu haijacheza vizuri leo...tatizo ni ego za Mourinho...combo ya Fellaini na Pogba haifanyi kazi...kama lengo lilikuwa kumpumzisha Herrera basi Pogba angecheza na Carrick au Morgan...Fellaini anamnyima uhuru Pogba...it is that simple.
Ngoja tuone atakavyopanga timu weekend...maana hachelewi kumwanzisha Rooney kisa katoa assist leo...Rooney sasa anapaswa awe role player...
Timu haijacheza vizuri leo...tatizo ni ego za Mourinho...combo ya Fellaini na Pogba haifanyi kazi...kama lengo lilikuwa kumpumzisha Herrera basi Pogba angecheza na Carrick au Morgan...Fellaini anamnyima uhuru Pogba...it is that simple.
Ngoja tuone atakavyopanga timu weekend...maana hachelewi kumwanzisha Rooney kisa katoa assist leo...Rooney sasa anapaswa awe role player...
angechezesha watoto kama ni hvyoIlo kombe mou hana mpango nalo
Naona kama alitaka kufunga vile ikagoma bahati nzuri Ibramovic alikua kajiposition![]()
![]()
![]()
![]()
Assist yenyewe hiyo aliyo toa sasa!!!!
Timu haija cheza vizuri, ila kama hatu lihitaji hili kombe bora tutoke mapema ikifika wa 12,tusihangaike.
Ila kushinda ni afadhali kuliko droo
hata pasi tu inamshnda utengeneze vp sasaUnajua mpira uko hv kama hujui ww hujui tu fella ni mchezaji wa kutengenezwa sasa anapata tabu akicheza na mafundi waliozaliwa nao hahahah
HahahaaNaona kama alitaka kufunga vile ikagoma bahati nzuri Ibramovic alikua kajiposition
Mourhino saafi sna acha ampe moyo kijana wetu naona ile hali ya kujiamini ya Rooney inapotea hata ule mpira alipga kimashaka mashaka tuu.Hahahaa
Ile inaitwa accidentaly on purpose, asingefunga Zlatan leo Runi ange kaangwa na mashabiki
Mourinho on Rooney: "He was laughing and saying he made a great assist"
EeehMourhino saafi sna acha ampe moyo kijana wetu naona ile hali ya kujiamini ya Rooney inapotea hata ule mpira alipga kimashaka mashaka tuu.
Hope dhidi ya stoke tutaona mchezo mzuri ila nahisi kama mourhino atamuanzisha Fellaini kutokana na mpira wa kibabe wa stoke cty
Tusubiri
Aje apigane viwiko na akina Adam/shawkross tena jamaa wanahasira sana sidhani kama wameshinda game hata moja.Eeeh
Leo sio tumeshinda , tume epusha fedheha, bora lawama kuliko fedheha bhana, ila Rooney nampongeza aliji position pazuri, tuseme sub yake imeleta impact.
Juma pili namuona Fellaini mapeema kabisa kwa kuwa Stoke ni warefu, Mou najua hatavunga kumuanzisha japo ana m cost sana pogba
Timu haijacheza vizuri leo...tatizo ni ego za Mourinho...combo ya Fellaini na Pogba haifanyi kazi...kama lengo lilikuwa kumpumzisha Herrera basi Pogba angecheza na Carrick au Morgan...Fellaini anamnyima uhuru Pogba...it is that simple.
Ngoja tuone atakavyopanga timu weekend...maana hachelewi kumwanzisha Rooney kisa katoa assist leo...Rooney sasa anapaswa awe role player...
WTF? Wenger anawa-prove wrong? Mbona hajashinda major trophies for ages?!? Au nyie furaha yenu ni 'mafanikio' mliyonayo sasa?juu ya selection ya baadhi ya wachezaji tofauti Wenger huwa anatu-approve wrong.
Nilimaanisha kuprove wrong kiuchezaji ki-chemistry partnership. Umeongelea partnership ya Pogba na FELLAIN haifanyi kazi , Wenger pia ameshalaumiwa kwa jambo kama hilo la selection ya baadhi ya wachezaji mfano Monreal, Giroud Sanchez as a CF lakini akanga'ang'nia na mwishowe wapenzi wakaona Wenger was right, labda ndivyo Mourinho anavyoona kwa combination ya Pogba na FELLAINWTF? Wenger anawa-prove wrong? Mbona hajashinda major trophies for ages?!? Au nyie furaha yenu ni 'mafanikio' mliyonayo sasa?
Hata akili yako iko dillema kama id yako ilivyoTimu mbovu kabisa hii inatolewa kamas na kizyora
Mkaanga sumu naona unamwaga sumuMan fongo ya shindaa kwa taaaaabu sana!
Kelele na Optimism uliyokuwa nayo wakati mnakamilisha deals imekwenda wapi??? mlivurugwa vurugwa wiki moja hapo naona ukala KONA![]()
![]()
nipo sana tu siku hizi najifunza kunyamaza
![]()
![]()
![]()
![]()
Kelele na Optimism uliyokuwa nayo wakati mnakamilisha deals imekwenda wapi??? mlivurugwa vurugwa wiki moja hapo naona ukala KONA
![]()
![]()
![]()
he he he he he
siwezi kula kona bana ni ubize tu!!, mimi siyo kama wewe unajificha kwenye handaki mwezi mzima,sisi ndo ng' ombe mzee asiyezeeka maini,tupogo tu tunarudi taratibu.......