Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Point tatu safi lakn mpira huu its not our class combination ya pogba na fella ni worse fella anamchosha jamaa tu yaan mpk ibra,mata wanakuja nyuma kufuata mpira damn
 
Pheeew! Siyo mbaya, ili mradi points 3 kibindoni.

Hahahahaha Wakereketwa na mliokunywa maji ya bendera mbona mnanipa shaka. Imani na Matumaini kama vile yanayeyuka mechi hadi mechi... Mourinho atawabadili katika ligi vs Stoke.
 
Timu haijacheza vizuri leo...tatizo ni ego za Mourinho...combo ya Fellaini na Pogba haifanyi kazi...kama lengo lilikuwa kumpumzisha Herrera basi Pogba angecheza na Carrick au Morgan...Fellaini anamnyima uhuru Pogba...it is that simple.

Ngoja tuone atakavyopanga timu weekend...maana hachelewi kumwanzisha Rooney kisa katoa assist leo...Rooney sasa anapaswa awe role player...
 
Point tatu safi lakn mpira huu its not our class combination ya pogba na fella ni worse fella anamchosha jamaa tu yaan mpk ibra,mata wanakuja nyuma kufuata mpira damn
Tatizo ni egos za Mourinho...watu walisema LvG ana egos...lakini hamfikii Mourinho.
 
Egos zake zitamuondoa kwny timu kama lvg alivoondoka kwa fedheha kwa man u ya sasa hkn kuoneana aibu watu wanataka vikombe tu thts all tuna mafundi kibao tunashindwa hata kucheza sexy futball damn!!
 
Ivi vitimu vidogo ni sturbon sana tena omba visikuotee kuchomoa ni shda jamaa wako kumi nyuma ya mpira.

Tunahitaji kuongeza kasi kuanzia kwenye viungo kwenda mbele.

Sio mbaya ushindi na cleansheet juu.
 
Point tatu safi lakn mpira huu its not our class combination ya pogba na fella ni worse fella anamchosha jamaa tu yaan mpk ibra,mata wanakuja nyuma kufuata mpira damn
mchezaji hana kiwango halafu anapangwa
 
Back
Top Bottom