Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Rooney anapasha nadhani mou anagawana nusu ya mshahara wa big fella
we mwenyewe rubaman ni mzee wa Povu....unatizama mpira unalalamikaaaHuwa napenda kusoma comments za sofa experts katika threads za football, hawa watu wapo timu zote na duniani kote. Mpira ungechezwa kwa macho na midomo hakuna timu itakayoshuka daraja
we mwenyewe rubaman ni mzee wa Povu....unatizama mpira unalalamikaaa
we mwenyewe Expert
Back to the Topic wenyeji akina Everlenk wako wapi?
Fellaini anatuzingua
Timu hii kama ulivyosema imepark bus, basi haina haja ya yeye kucheza sana chini kiasi cha kumfanya pogba arudi kuchukua mipira chini..Mi niko kinyume na wote wanaomlalamokia Fella, Jamaa yuko vizuri sana especially ktk hii mechi ya leo. Mipira anagawa vizuri, anakaba na kusambaza inavyostahili, Kwa performance ya leo Fela anamzidi hata Pogba anapoteza mipira kila mara.
Kazi iko hapa Mbele, na tukumbuke kitimu hiki Kimepaki mno Fusso, kiasi kuipenya mgome yao inakuwa shida... Sintoshangaa Fella akabeba Man of the Match mwisho wa Mchezo...
HATUTAKAGI UJINGA..!!!
Jamaa ana jina la kingoniKamenyuka amenyukwa kadi ya njano


