Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba anachekesha uwanjani . Tricks sio kwa kila mtu, kama huwezi huwezi acha kulazimisha. Pogba anataka kutrick kama Neymar , CR7 Ronaldinho mwishowe anabaki kuwa kichekesho lol
 
Hii timu atakaeharibu ni mou mwenyewe fellaini wa nn hapa uwanjan na alivokuwa fala anaweza mtoa mata anakera sana mou timu nyepes hii lkn anafanya mechi kuwa ngumu
 
Aisee hzi tigo rusha za pogba balaa kwel jamaa anahitaj kucheza na mafundi sio vichaa kama fella na lingard
 
Huwa napenda kusoma comments za sofa experts katika threads za football, hawa watu wapo timu zote na duniani kote. Mpira ungechezwa kwa macho na midomo hakuna timu itakayoshuka daraja
 
Haha sofa expert au sio haha unamatusi sana jamaa
 
Huwa napenda kusoma comments za sofa experts katika threads za football, hawa watu wapo timu zote na duniani kote. Mpira ungechezwa kwa macho na midomo hakuna timu itakayoshuka daraja
Kumbe unalitambua hilo lol
 
Back
Top Bottom