Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nmejarbu kuona Rooney anajisikiaje out of his presence team ina perform vzur sana
 
Mechi tamu hii Ka mcharo ....nani naungana na mtangazaji aliyehoji .hiki kikosi cha Leo kilikuwa wapi simu zote???
 
Khe kheee kheeeee Nzi where are Bro? Njoo huku kuna karamu/fiesta huku Mkuu.
Huhitaji kuwa na PhD kuelewa kwamba Mourinho alikuwa akikosea setup ya timu...leo kapata jibu...Pogba na Mata siyo wachezaji wa kuwabana kwenye positions zao...waache wawe huru ndiyo utaona umuhimu wao...lakini bila kusahau kumweka Anders, Morgan au Carrick kwenye namba 6...

Leo [HASHTAG]#WakaangaSumu[/HASHTAG] wanachungulia tu.....hivi yule mzee wa khe khe khe khe Wacha na mdogo wake Wacha1 wapo wapi?
 
Back
Top Bottom