john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Man u wameonesha kauhai flani na wachezaji wameonekana leo mpira siku zote ni mipango let us wait dakika 90ziisheUmeona eeh! Naona kuna karamu leo hapa isije kuwa sita tu au zaidi. MANU watafanya kweli maana wanajua haya magoli mbele ya safari yanaweza kuwa na umuhimu mkubwa sana.