UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Duuhh afadhal pia sijaenda maana ningelala na hasira, asante kwa updates mkuuMemphis majanga...mngekuwa mnacheza na timu nzuri kiasi mngefungwa.
Mpaka sasa 33'
wao 0 - 1 nyie.
Ooh rooney nahisi bado hajajijua kuwa ni striker.
Mr naona unachekelea tu. ..
I agree hata hii penalty ni yeye alinyang'anywa mpira kwanza.ROONEY NDO MCHEZAJI ANAYECHEZA HOVYO PALE UNITED
Si kweli huwezi mlaumu blind kwa ile penalty yale ni makosa ya defence upande wa kulia. Yeye alikuwa anajaribu kuzuia makosa yao..it could happen to any player. Hajacheza rafu ya makusudi hata kidogo.1 - 1 BLIND ANATUGALIMU
SOR MKUU HIZO BEKI ZA PEMBENI ZIMEZINGUA SANA HALAFU HAKA KATIMU KWELI KAKUTUTOA ROHO YAANI HATA 5 TUSHINDWE KWELI HII ITAKUWA AIBU KWETUSi kweli huwezi mlaumu blind kwa ile penalty yale ni makosa ya defence upande wa kulia. Yeye alikuwa anajaribu kuzuia makosa yao..it could happen to any player. Hajacheza rafu ya makusudi hata kidogo.
Naomba kumtetea.
Weeeeee unataka ugomvieeekwann rooney hatolewi au anaogopeka
Nyie mnaangalia channel gani?2nd half ndo yaanza
Sky sports 1 HD.Nyie mnaangalia channel gani?