Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,351
- 13,880
Asante mkuuSky sports 1 HD.
Asante mkuuSky sports 1 HD.
Hivi unamuona Rooney lakini? naona uko kimyaGet it in...Rashford had no right to reach that Ander's pass, what a pass...
hiyo inaitwa unexpected ila imezaa goalGet it in...Rashford had no right to reach that Ander's pass, what a pass...
Kama uliangalia goli la pili la Watford dhidi ya United last weekend, utafuta ulichoandika. Martial alifanyiwa hivyo hivyo ulivyosema ni foul.Baada ya kucheza faulo mmefanikiwa kupata goli
Unataka niseme nini braza? What's the fuss about Wazza?Hivi unamuona Rooney lakini? naona uko kimya
Two wrongs dont make a right.Kama uliangalia goli la pili la Watford dhidi ya United last weekend, utafuta ulichoandika. Martial alifanyiwa hivyo hivyo ulivyosema ni foul.
True that. Pogba anahitaji mwenza mwenye kuweza kumfanya awe huru na asiwe na wasiwasi wa kurudi sana kusaidia backline.NaanZa ona bora kiungo akae karick na pogba kuliko minywele na pogba
It wasn't 'wrong' that's why the goal was allowed.Two wrongs dont make a right.
El capitano playing mediocre football.Unataka niseme nini braza? What's the fuss about Wazza?