Jezi mtaaaauuuuzaaaaa foreverMan u forever
Kiongozi, lakini wameuza jezi sana aisee. $110m and haircuts sio haba. Utani pembeni, kwa moron hoJezi mtaaaauuuuzaaaaa forever
wataambulia msimu mmoja, ziaidi ni maumivu.Lini watapata huo msimuKiongozi, lakini wameuza jezi sana aisee. $110m and haircuts sio haba. Utani pembeni, kwa moron howataambulia msimu mmoja, ziaidi ni maumivu.
Kituo cha polisi tenaDuh wakaanga sumu mnaacha jukwaa lenu mnakimbilia huku subirini kiduchu mtaliona jukwaa la Man kama kituo cha polisi.
sie tuko full nyie ndiyo mko hvyo kwenye majukwaa yenu hamtulii kutwa kuja kuchungulia kwetu.
afu asitupie uone maneno ya haters.
kama dogo miaka 18 anavuta hela hiyo tuna haki ya kuchukiwa wakat walcot aligoma kusain mkataba anataka 60 noma sanaKiongozi, lakini wameuza jezi sana aisee. $110m and haircuts sio haba. Utani pembeni, kwa moron howataambulia msimu mmoja, ziaidi ni maumivu.
Mpila ni starehe kakaNajua msimu huu tena unapita arsenal hawez kubeba epl ila angefanikiwa mbele ya king power ungelala coco beach mwez mzima bila kula
Unawezaje kuvumilia maumivu yanayochoma moyo hivyoNajua msimu huu tena unapita arsenal hawez kubeba epl ila angefanikiwa mbele ya king power ungelala coco beach mwez mzima bila kula
Unawezaje kuvumilia maumivu yanayochoma moyo hivyo
ThanksAll the BEST
Memphis majanga...mngekuwa mnacheza na timu nzuri kiasi mngefungwa.Wakuu leo nimekwama, ckua na kampan ya kwenda nayo mpiran,
Naombeni mnijuze tunacheza mpira wa aina gan, tumetulia au ndo majanga