SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Braza sijui unamwongelea Rashford yupi? He lacks pace? Nitajie hicho unachokunywa ama kuvuta nami nikitumie siku nyingine.
Ebu angalia huyo unayemsema "he lacks pace.."
Angalia goli dhidi ya Man Shitty na dhidi ya U-21 ya Norway.
Pace is one of his playing attributes. Jaribu kumwangalia kwa jicho lisilo la kinazi bruh!
Kwa kuwa huangalia EPL tu Na sijaangalia U21