Nafikiri hujaangalia mpira zama za akina Lee Bowyer, Kevin Davies, Robbie Savage.
Hao walikuwa ni zaidi ya wakorofi na kadi ilikuwa jambo la kawaida.
Mnataka huyu muuza jezi wenu awe-paired nani ili awe bora na awasaidie nyie man useless???Mourinho asipoacha mind ya kucheza bila Game controller itatucost... Mipira ya kizamani ndo ya kutumia minguvu kama fellaini Tatizo linalopelekea kina martial wanarudi nyuma kuchukua mipira afu wanafanya mistake ni sababu midifield imekosa mtu wa kupeleka mashambulizi... Ni bora uwe na Carrick asiyekaba lakini timu inashambulia na kutengeneza nafasi kuliko Fellaini anayekaba lakini timu inashambuliwa na hapeleki creative balls mbele...
Pogba won't succeed with Fellaini
Carrick type of player ni muhimu sana
utani huo jamaa alifanya maigizo na si kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23], upinzani kitu cha kufurahisha sana.
Kuwa mvumilivu mkuu 300k itarudi kwenye ubora wakeRooney ndio anafanya wachezaji wengi wanaonekana hawafai.I hope Jose anaona makosa yake
zipo mechi zake kama na Liverpool,Chelsea,Arsenal lakini sio kama ya leoKuwa mvumilivu mkuu 300k itarudi kwenye ubora wake
Are you sure hadi Rashford unamweka kwa hilo group!???Kuanzia namba 6 hadi 11 wote ni slow players
Pogba yuko slow
So is Felaini, Rooney, Marshal, Ibrahimovic na Rushford
Ni vigumu kucheza pressing game kama mbele wote mko slow
Nenda gym katafute six pack then utaaminiBado siamini kabisaaaaaaa kama tumefungwa
Mpaka muda huu sijaaamin kama hawa madogo wametupa mishindo mitatu heavy. . nahic kama nimerogwa leo. . ila ipo siku na sisi kiliochetu kitaishaBado siamini kabisaaaaaaa kama tumefungwa
Nyie tatizo lenu much knowMpaka muda huu sijaaamin kama hawa madogo wametupa mishindo mitatu heavy. . nahic kama nimerogwa leo. . ila ipo siku na sisi kiliochetu kitaisha
Mkuu kilochoniuma ni kwamba ile ni mecho ambayo nilikua nna uhakika 2000% tunashinda. ..Nyie tatizo lenu much know