Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho asipoacha mind ya kucheza bila Game controller itatucost... Mipira ya kizamani ndo ya kutumia minguvu kama fellaini Tatizo linalopelekea kina martial wanarudi nyuma kuchukua mipira afu wanafanya mistake ni sababu midifield imekosa mtu wa kupeleka mashambulizi... Ni bora uwe na Carrick asiyekaba lakini timu inashambulia na kutengeneza nafasi kuliko Fellaini anayekaba lakini timu inashambuliwa na hapeleki creative balls mbele...

Pogba won't succeed with Fellaini

Carrick type of player ni muhimu sana
 
 
Utakuja kupigwa risasi
 
 
Rooney ndio anafanya wachezaji wengi wanaonekana hawafai.I hope Jose anaona makosa yake

Ndoto ya Jose ni kua na Rooney bega kwa bega na hii ni ndoto yake kabla hajakua kocha wa Machinga United alimtamani Rooney na leo yuko nae hakika Rooney lazima acheze alafu mnasahau Waingereza ni kama Wazaramo uyo Rooney akikaa benchi mkapoteza basi Jose kakalia kuti kavu na bado kalinyekalinye za legends wenu ambao wanaongea shombo kama Kaoge vile,Rooney ni mtego akiwa benchi au akiwa uwanjani tena na mashabiki wenyewe ndio mabingwa wa lawama.
Vardy na Mahrez wameniambia wanawasalimia sana Mungu akipenda mtaonana w'end naona 9 Pts zime stuck
 
From the self proclaimed THE SPECIAL ONE to the publically problaimed ORDINARY ONE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…