Kweli washabiki wa Chelsea wanaweza kuja hapa na kusema tumebebwa? Seriously?
Mkuu ahsante sana.. kuna mshabiki wa Chelsea anataka kunitoa roho leo eti tumebebwa.....wazungu wanakwambia Justice Served leo....Big Up Man United supporters, am happy for you.
BJ, maneno yangu umeyasikia...wiki ijayo pia nawapa support tena
mpaka siku mtayokumbana na Barcelona ndipo udugu wetu utapoishia.
RR, Eqlypz, Mfarisayo, Belo, Manda et al... kila la heri.
Triple hiyo inakuja
Ni furaha kubwa kwa siku ya leo manaa vile vizingiti vyote vilivyokuwa darajani tumevunja..VIVA MAN UTD...tumecheza vyema vyema kwenye ulinzi natumai safari ya ze blues imekwiva pale machinjioni
Kaangalie tena hiyo foul, initial contact ilikuwa nje ya box (freekick) kilichotokea baada ya hapo ni irrelevant, kama Evra angekuwa anavuta jezi ya Ramires kuanzia nje mpaka kwenye boksi hiyo ni sawa lakini sio kwenye ili."It looked as if the boy (Ramires) had made the most of it. It was a break and the first we have had in seven years here. There is plenty to talk about apart from that.........." SAF on BBC
"Was it a penalty? Maybe it was, maybe not - it is swings and roundabouts......." Rio Ferdinand on BBC
"IT WAS A PENALTY NA MMEBEBWA TENA KWENYE CL" Questt on JF.
Kwa Ujumla Hongereni as the scoreboard stands.
...performance ya Carrick ime drop sana msimu huu,...
Hongereni wakuu kwa kunusa nusu fainali.
Beki yenu kwa ujumla inawatoa sana na zaidi Van der Sar sijui mta mreplace vipi mwakani.
...Big Up Man United supporters, am happy for you.
BJ, maneno yangu umeyasikia...wiki ijayo pia nawapa support tena
mpaka siku mtayokumbana na Barcelona ndipo udugu wetu utapoishia.
RR, Eqlypz, Mfarisayo, Belo, Manda et al... kila la heri.
"It looked as if the boy (Ramires) had made the most of it. It was a break and the first we have had in seven years here. There is plenty to talk about apart from that.........." SAF on BBC
"Was it a penalty? Maybe it was, maybe not - it is swings and roundabouts......." Rio Ferdinand on BBC
"IT WAS A PENALTY NA MMEBEBWA TENA KWENYE CL" Questt on JF.
Kwa Ujumla Hongereni as the scoreboard stands.
arsenal hawanahaja ya kumuelewesha mtu, wenye macho wanaelewa kila kitu!
...Big Up Man United supporters, am happy for you.
BJ, maneno yangu umeyasikia...wiki ijayo pia nawapa support tena
mpaka siku mtayokumbana na Barcelona ndipo udugu wetu utapoishia.
RR, Eqlypz, Mfarisayo, Belo, Manda et al... kila la heri.
Mbu! jaribu kuangalia mpira vizuri, huyu jamaa yuko juu sana kwa sasa. Believe you me. he is helping our deffence more than any other midfielder playing for man u currently
Could someone tell me where is Darren Fletcher?