Kwani nimekataa kuwa Rafael hajaumia..? Duh wacha kurukia treni kwa mbele.. If it wasn't a tactical sub he would have brought in a defender. SMH!!Wacha uongo wewe Rafael kaumia .... ..... ..... .... hakuna tactical yoyote hapo sema formation labda inabadilika .... .... ...khe khe kheeeeeeeeeee Ranirez anakula yellow hapa ....................
Huyu refa kaacha kadi Spain au?
Chacha Giggs kona gani hiyo au ni pass kwa oponent .... ... ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
New Man U striker huyo!! leo Man U wapo12 Chel 11 kazi ipo!
Umeona foul ngapi za Chelsea kaziachia tuu zipite?New Man U striker huyo!! leo Man U wapo12 Chel 11 kazi ipo!
Umeona foul ngapi za Chelsea kaziachia tuu zipite?
Anaangalia mpira kwa braile.
Nipo Stamford Mkuu! thanks!
Mkuu umeingia uwanjani na laptop? Kweli unapenda JF badala ya kuangaia mechi uko kwenye forum heheheh!!Nipo Stamford Mkuu! thanks!
Mkuu umeingia uwanjani na laptop? Kweli unapenda JF badala ya kuangaia mechi uko kwenye forum heheheh!!