Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nazungumzia Fellaini wa msimu huu sio huko nyuma,Hii gemu sio ya kumlaumu Fellaini.Since Mourinho kaja Fellaini ndio kiungo anayecheza vizuri
Upo clearly
Mchawi # 1 Rooney
Piga benchi Rooney. & Martial kila siku upupu
................
 
Kujihami vipiiiii..?
Ahahaaaaaaaah...
Ahsante sana Watford..!
 
Kijana angalia Serengeti Boys wanavyosakata kabumbu
 
Tatizo sio Pogba, tatizo ni Rooney na Fellaini.
Rooney anamzuia Pogba kutawala sehemu ya kiungo kwa kurudirudi nyuma na Fellaini amenuiziwa na David Moyes.

Hakuna sababu ya kuwapanga Rooney na Pogba kwenye first X1
Pogba hayuko huru.
David Moyes ameandika barua ya kutengua kufukuzwa kwake Man. United. Mou atafute timu ingine mpya mapema ya kuwapelekea mikosi. Aende West Ham au Newcastle.
 
Naskia hainaga ushemej...
Tunakula........
Naskia hainaga ushemej........
Tunakulaga.....
Zam ya nan leo...
Zam ya Watford..
Zam yetu itafka kesho uckonde baharia wnguMan cty kapita..
Feyenood kapita.
Watford kapta...
 
 
Pole sana kupenda kitu kibaya, na hizi mechi ambazo wapenzi na washabiki wanategemea ushindi 110% mkifungwa inaumiza sana, bora hata sare.
Yaaani bora hata sare . ...sijui wachezaji wa a mgomo baridi.
 
Nimemuomba anisamehe tu maana si kawaida kwa MANU especially baada ya kutumia gharama kubwa sana labda kuliko timu yoyote ile Europe kwenye usajili kudorora kiasi hiki tena katika mechi mfululizo.

Mungu anakuona
 
Nimemuomba anisamehe tu maana si kawaida kwa MANU especially baada ya kutumia gharama kubwa sana labda kuliko timu yoyote ile Europe kwenye usajili kudorora kiasi hiki tena katika mechi mfululizo.
Sielewi hatuna bahati ama ni nini
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…