rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Nipo naangalia vijana wa Wenger
Vijana wangu hawana new idea. Tukiondoka na draw nitashukuru sababu Saints wanacheza vizuri na wanaweza kutupiga a sucker punch muda wowote.
Nipo naangalia vijana wa Wenger
Hao ni proffesional players wanalipwa kwa kufanya hiyo kaziMkuu ni hivi Makocha mara nyingi hawawalaumu wachezaji hadharani. Kocha anatakiwa kufanya yale behind the scene. Hivi uliwahi kumsikia SAF akilaumu wachezaji hadharani? Hii inaweza kuvunja moyo au kuwafanya wachezaji kuwa nervous katika mechi zijazo.
Acha kukariri wewe. Makocha wana approach tofauti mfano huyo Prof wenu ni bingwa wa kulaumu wachezaji wa upinzani, hio ni mbaya zaidi ya Mourinho kulaumu wachezaji wake. Mourinho ni muwazi na hilo sio geni labda wewe ndio hujui.Mkuu ni hivi Makocha mara nyingi hawawalaumu wachezaji hadharani. Kocha anatakiwa kufanya yale behind the scene. Hivi uliwahi kumsikia SAF akilaumu wachezaji hadharani? Hii inaweza kuvunja moyo au kuwafanya wachezaji kuwa nervous katika mechi zijazo.
Mkuu ni hivi Makocha mara nyingi hawawalaumu wachezaji hadharani. Kocha anatakiwa kufanya yale behind the scene. Hivi uliwahi kumsikia SAF akilaumu wachezaji hadharani? Hii inaweza kuvunja moyo au kuwafanya wachezaji kuwa nervous katika mechi zijazo.
Dah hamna kitu inapanda aiseee.....Pole sana ila ni mapema mno kuumia hivyo hii ni mechi ya nne tu kati ya mechi 38. Jichangamshe kwa kuendelea na tizi la nanihii. 😛😛😛
Doh! Basi sawa umesikika loserfool...
Hope Leicester City will make my day too....![]()
Yani wewe furaha yako mpaka jirani awe na majonzi.....
Acha unafki
Hayo maombi yako yamewahi kufanya kazi kweli?One thing I must make it Clear!! "Man United is a Shit that I hate Most in this World! Whatever the situation is, I'm always praying for only badness to happen to them
Vice versa is always true welcome to manhood [HASHTAG]#reddevil[/HASHTAG]One thing I must make it Clear!! "Man United is a Shit that I hate Most in this World! Whatever the situation is, I'm always praying for only badness to happen to them
hamna kitu kibaya kama mtu abakwe nyumbani kwao
As usual deluded loserfool fanOne thing I must make it Clear!! "Man United is a Shit that I hate Most in this World! Whatever the situation is, I'm always praying for only badness to happen to them
De Bruyne (kwenye flank) vs Pogba (Central mildfilder) .duuuhAnyone see Pogba the most expensive player..?
😀😀😀
De bruyne put him in his pocket..!!!
Acha kukariri wewe. Makocha wana approach tofauti mfano huyo Prof wenu ni bingwa wa kulaumu wachezaji wa upinzani, hio ni mbaya zaidi ya Mourinho kulaumu wachezaji wake. Mourinho ni muwazi na hilo sio geni labda wewe ndio hujui.
Hayo maombi yako yamewahi kufanya kazi kweli?
As usual deluded loserfool fan