radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hehehe...
AKIBA ya MANENO..!!!
mi siwezi kuwa na akiba ya meneno co city ile ntaanza kuwa na akiba walau ukifikia tu kombe tu 5 kwa sasa ni under dog bado
Hehehe...
AKIBA ya MANENO..!!!
Anyone see Pogba the most expensive player..?
Unamwonea bure kwa hayo uliyomwandikia
Unamwonea bure kwa hayo uliyomwandikia
Sawa...mi siwezi kuwa na akiba ya meneno co city ile ntaanza kuwa na akiba walau ukifikia tu kombe tu 5 kwa sasa ni under dog bado
nimempa kidogo ka muhtasari mkuu anachokiandika kinafanana na alipo mtu kama huyu lazima apagawe kushinda mechi akija kwenye title 0 ataachaje kupagawa
Sawa...
Lakini pole..!!!
Mkuu unatumia game moja kutoa hitimisho?Poleni sana watani
Nimeamini Pep ni kocha mzuri zaidi Ya Jose
Pogba hastahili kuuzwa hata $50 million and he's way overrated
Sasa unafiki wa nini? Kuna ambae hajaona school boy errors za Blind?Jamani mmesikia the special one anawalaumu wachezaji wake hadharani kwa kufungwa leo... Kweli a Leopard can never change its spots. More to come from the Mourning one.
Hili la kuvunja rekodi ya forest huwa wananyamaza kabisa ukigonga hapo. Tumefungwa ndio mchezo tunajipanga mapambano yanaendelea.Game moja umechanganyikiwa hapo unadhihirisha uanda dog wako wazoefu wa soka wanaangalia kinachofuata
ENGLISH FOOTBALL STATS
MOST CHAMPIONSHIPS
1. 20 - Manchester United
2. 18 - Liverpool
3. 13 - Arsenal
MOST FA CUPS
1. 12 - Arsenal
1. 12 - Mancester United
3. 8 - Tottenham Hotspurs
MOST CHAMPIONS LEAGUE
1. 5 - Liverpool
2. 3 - Manchester United
3. 2 - Nottingham Forrest
MOST COMMUNITY SHIELDS
1. 21 - Manchester United
2. 15 - Liverpool
3. 14 - Arsenal
MOST TROPHIES OVERALL
1. 63 - Manchester United
2. 60 - Liverpool
3. 43 - Arsenal
MOST RELEGATED CLUBS
1. 5 - Chelsea
2. 5 - Manchester City
3. 4 - Tottenham Hotspurs
Tafuta timu yako hapo ili uendelee kutamba hapa
Mkuu unatumia game moja kutoa hitimisho?
Hili la kuvunja rekodi ya forest huwa wananyamaza kabisa ukigonga hapo. Tumefungwa ndio mchezo tunajipanga mapambano yanaendelea.
Unategemea nini kutoka kwa mshabiki wa Loserfool?Mkuu unatumia game moja kutoa hitimisho?
Hata nami nilishangaa jinsi huyo pundit alivyofikia hitimisho kwa mechi mojaMkuu unatumia game moja kutoa hitimisho?
Sasa unafiki wa nini? Kuna ambae hajaona school boy errors za Blind?
Tofauti na Wenger ambaye huwa anawasifia wakifungwaJamani mmesikia the special one anawalaumu wachezaji wake hadharani kwa kufungwa leo... Kweli a Leopard can never change its spots. More to come from the Mourning one.