Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Guardiola anamkosea heshima sana Toure ....Yaan hata sub? Sikujua kwamba Wazungu kumbe nao wanakuwaga na beef za kijinga Jinga kiasi hikiMan City
Substitutes
- 1Bravo
- 3Sagna
- 24Stones
- 30Otamendi
- 11Kolarov
- 17De Bruyne
- 25Fernandinho
- 21Silva
- 7Sterling
- 72Iheanacho
- 9Nolito
- 5Zabaleta
- 6Fernando
- 13Caballero
- 15Jesús Navas
- 19Sané
- 22Clichy
- 75García Serrano
sio mbaya hizi mechi kadhaa hakuwa vizuriIna maana leo martial anakaa bench??
Mimi Leo ntakuletea picha zote
14:30Mechi saa ngapi?
Scarf kama hiyo shabiki yoyote atayeinunua basi huyo siyo shabikiI hate these half scarfs....
AnastahiliIna maana leo martial anakaa bench??
Tupo tena with a comfidenceWenye nyumba mmo humu!? Au mnaogopa mnachungulia kwa mbali!? Khe khee kheeeeeeer
Enjoy the game guys 15 mins to go.
Tupo tena with a comfidence
Tulia sindano iko jikoniNgoja tuwaone ila mshukuru Mungu yule Aguero hayuko leo, kukosekana kwake kumeipunguzia majukumu defence yenu maana yule jamaa ni mbaya sana kwenye kuziona nyavu za wapinzani.