radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hii sio kauli ya shabiki na mpenzi wa manchester,
Moja ya kauli mbiu ya united ni NEVER GIVE UP na kua na spirit ya ushindi untill the last minute.
Huyo sio mwenyewe united haiwez kufungwa na timu ya kuzuka kama uyoga