Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
09107NQ3 Chukua code izo ujiunge katika League yetu kwa michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE..
Kapiga hat trick. Dogo anakuja vizuriMarcus Rushford scored on hisl England U21 debut
09107NQ3 Chukua code izo ujiunge katika League yetu kwa michuano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE..
Ingia playstore andika UCL FANTASY LEAGUE zitakuja app nyingi chukua ile app ya kwanza , ukishainstall ukifungua watakuambia utengeneze acc ukishamaliza watakuletea utengeneze timu ya wachezaji 15 kwa bajeti ya £100m ukimaliza utachagua formation utakayoitumia alafu utachagua team captain wako alafu utachagua jina la timu yako mwisho utaisave timu yako, baada ya hapo unaweza kwenda kwenye kujoin lig ambako watakutaka uweke code ili kujiunga na lig husika hapo utaweka izo code nilizozituma kisha utafanikiwa kujiunga..Unajiungaje kwani
Poa mkuuIngia playstore andika UCL FANTASY LEAGUE zitakuja app nyingi chukua ile app ya kwanza , ukishainstall ukifungua watakuambia utengeneze acc ukishamaliza watakuletea utengeneze timu ya wachezaji 15 kwa bajeti ya £100m ukimaliza utachagua formation utakayoitumia alafu utachagua team captain wako alafu utachagua jina la timu yako mwisho utaisave timu yako, baada ya hapo unaweza kwenda kwenye kujoin lig ambako watakutaka uweke code ili kujiunga na lig husika hapo utaweka izo code nilizozituma kisha utafanikiwa kujiunga..
BAILLY IS UNITED'S PLAYER OF THE MONTH:
Eric Bailly is the convincing winner of Manchester United's first Player of the Month award for the new season.
The Ivory Coast international has made an instant impact at Old Trafford and earned the Man-of-the-Match accolade in three of the Reds' four games last month, only missing out when Zlatan Ibrahimovic was star man in the 2-0 win over Southampton.
Thousands of supporters cast their votes on Twitter and ManUtd.com with the 22-year-old beating off competition from fellow summer signing Ibrahimovic (37 per cent) and his defensive partner Daley Blind (8 per cent) to land the trophy with 55 per cent of the overall tally.
Bailly told MUTV recently: "The Man-of-the-Match awards are something I hadn’t thought about but I got them through the hard work I have put in. I hope to see more of that in the weeks ahead of us."
Source: MU Website
Mungu ibariki Manchester United ushindi dhidi ya Manchester City.
Amina.
Ushindi lazima na maombi muhimu....maana nitaumwa aiseee.Pogba.Ibra.Rashford.Rooney.Martial.Felaini.Mataaaa, pale ushindi mbona lazima.