Duh! niliona anavyowafungisha tela madogo wenzie kama anawaonea vile!Marcus Rushford scored on hisl England U21 debut
Ushindi lazima na maombi muhimu....maana nitaumwa aiseee.
bwana hizi picha zako si kuna jukwaa lenu?
Hilo ni JIBU linaloambatana na PICHA..!bwana hizi picha zako si kuna jukwaa lenu?
hako ka beki kenu kataweza mzuia mnyama zlatani?
We comment tu picha peleka kule.......teh teh teh.Hilo ni JIBU linaloambatana na PICHA..!
Hata kama UZI ni kwaajili ya MASHETANI wekundu bado NARUHUSIWA kuchangia..!
Punguza HASIRA..!!!
naona umepaniki sasa!! mshashindwa hata kabla ya mechi kuanza!!Hilo ni JIBU linaloambatana na PICHA..!
Hata kama UZI ni kwaajili ya MASHETANI wekundu bado NARUHUSIWA kuchangia..!
Punguza HASIRA..!!!
huyu anajipa tu moyo....afu ukute ni shabiki wa Arsenal.hako ka beki kenu kataweza mzuia mnyama zlatani?
huyu sizani kama ni shabiki wa aseno!! huyu atakua man shithuyu anajipa tu moyo....afu ukute ni shabiki wa Arsenal.
oooh haya.huyu sizani kama ni shabiki wa aseno!! huyu atakua man shit
Hiyo sio kazi yake pekee..!!!hako ka beki kenu kataweza mzuia mnyama zlatani?
Yap...huyu sizani kama ni shabiki wa aseno!! huyu atakua man shit
Hujajibu swaliHiyo sio kazi yake pekee..!!!
man shit!!!Yap...
Uko sahihi shabiki wa MANURE..!
Manure..!!!man shit!!!
Sema sijajibu UNAVYOTAKA..!Hujajibu swali