sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Naomba matokeo...yani umeme ulikuwa umekatika na kasimu kangu kalikuwa kamekufa....ndiyo imefufuka...hapa naona Rooney na Rashford wanasifiwa....eh nisimulie kidogo.
Naomba matokeo...yani umeme ulikuwa umekatika na kasimu kangu kalikuwa kamekufa....ndiyo imefufuka...hapa naona Rooney na Rashford wanasifiwa....eh nisimulie kidogo.
Herrera saiz kapewa majukumu mengine, anaandaliwa ili awe anacheza deep zaidBado sijui kwa nini hadi Leo kwa nini Morihno hamuamini Andy herera kuwa mbadala wa Matta
Ila martial akiendelea vile dogo rashford ata taftiwa pa kukaa zaid yakeNever say never!!
United we stand.
Solid perfomance!Partnership ya bailly na blind ni another level
Ukubwa dawa thanks captain wangu watu watakuelewa tu bado una thamani na united bado inakuhitajiSasa naelewa kwanini Mou bado anamtrust Rooney
Kausingizi kanakuja katamuuuu balaaa.Tuache utani bana,
Goli la jioni tamu asikuambie mtu, Yaani ninafuraha hapa balaa. Hii ndio raha ya kuwa na kokosi cha mauaji. Yaani anayeingia ni mkali kuliko anayetoka.
Asante rashford GGMU
BACK TANGANYIKA
HahahaaMartial inabidi apewe LIKIZO FUPI atatue matatizo na MADEMU zake!
Hayuko kwenye mpira kabisa!
Na umeshangilia peke yako......unapakumbuka mwananyamala kwa mama zakaria.utadhani tumechukua kombe. sauti imekauka.
Mkuu madogo walikaza hado nika sema leo fungu la kukosaTuache utani bana,
Goli la jioni tamu asikuambie mtu, Yaani ninafuraha hapa balaa. Hii ndio raha ya kuwa na kokosi cha mauaji. Yaani anayeingia ni mkali kuliko anayetoka.
Asante rashford GGMU
BACK TANGANYIKA