Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Maana raha ya jezi timu yako iwe inashinda.....baada ya vipondo kuanza nilisusa kutafuta jezi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi toka Suarez aondoke LFC sivai tena jezi, mpaka nione nini kitatokea tena.
Maana raha ya jezi timu yako iwe inashinda.....baada ya vipondo kuanza nilisusa kutafuta jezi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi nilikuwa naprint na jinaMimi toka Suarez aondoke LFC sivai tena jezi, mpaka nione nini kitatokea tena.

Bei gani mkuuZipo K/koo madukani mfano pale Big Bon kwa mbele.....ukipata original inadumu km niliyoonyesha ina miaka kibao No mpauko, No kufutika
Ht Mlimani City unaweza kupata
Luna mtu kafafanua vizuri hapo juu mi naongezea tu kwamba mwanzo wa msimu wa ligi bei huwa juu zen ligi inavyoyoyoma bei hushuka 7bu kila msimu kuna toleo jipya la jeziBei gani mkuu
Duhhh wewe mwenzangu kwa mbwembweMi nilikuwa naprint na jina
BITOZ na # 7 kwa heshima ya CR7......Lakini siku hizi jezi # 7 imevamiwa kila mtu anavaa
![]()
![]()
![]()
![]()
chata kubwa kabisa naweka Everlenk ila mwaka jana hii mambo sikufanya kabisaa aibuuu!!!AsanteLuna mtu kafafanua vizuri hapo juu mi naongezea tu kwamba mwanzo wa msimu wa ligi bei huwa juu zen ligi inavyoyoyoma bei hushuka 7bu kila msimu kuna toleo jipya la jezi
# 7 imevamiwa ...yaani PAPAY kaishusha hadhi kabisaDuhhh wewe mwenzangu kwa mbwembwe![]()
![]()
chata kubwa kabisa naweka Everlenk ila mwaka jana hii mambo sikufanya kabisaa aibuuu!!!

EPL bwana haina mwenyewe. Kila mechi ni tofauti na huu ndio mwanzoni mwa ligi hatuwezi kupata picha ya ligi inatakwenda. Waache wanaochekelea pointi 6 za mwanzoni