hah haa ha @PRONDO na bado magori ya PogbaHa ha ha wapi MSAGA SUMU rubaman ?!!!
Toa Dan weka Origi
Toa Hendo weka Can
Umepagawa hadi updates unaweka humu badala ya uzi wa liverfluke.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umepagawa hadi updates unaweka humu badala ya uzi wa liverfluke.
Kupigwa mbili na timu iliyopanda daraja ni ngumu kumeza
Hahahaaaaa kloop alijua ni Frankfurt au Augsburg, EPL kila mechi ni fainali
2-0.Nipo naona soka
Barcelona ya Uingereza inacheza na Burnley
Ipo nyuma lkn dakika ya 90 itakuwa 4-2 tukishinda
Nipo naona soka
Barcelona ya Uingereza inacheza na Burnley
Ipo nyuma lkn dakika ya 90 itakuwa 4-2 tukishinda
Nipo naona soka
Barcelona ya Uingereza inacheza na Burnley
Ipo nyuma lkn dakika ya 90 itakuwa 4-2 tukishinda