Hahahaaa....umenikumbusha animation ya huyu jamaa......dah.
nimeipenda hii
Hahahaaaaa designer wa hii jezi ni hatariii aisee hahahaa
Pumbafu zao
Naona mburukenge wanakimbiza uzi tu. Soon mtaanza kupoteana!!
New signings
Chelsea- Batshuayi scored
Man united- Zlatan scored
Man city- Nolito scored
Liverpool- Mane scored
Spurs- Wanyama scored
Arsenal- Takuma is pregnant
![]()

Kama sijakosea, hata Ted sheringham alikuwa veteran toka spurs.Man utd ina kawaida ya kuchukua veteran strikers na kufanya vizuri. Kumbukumbu yangu inanirudisha 2007 tulimsajili HEnrik Larsson kwa loan ya miezi michache na akasaidia timu kuchukua ubingwa.
![]()
Misimu michache iliopita tulimsajili RVP ambae alikuwa anasumbuliwa sana na majeruhi, lakini akafunga magoli zaidi ya 20 na kusaidia timu kuchukua ubingwa.
![]()
Sasa hivi tuna Zlatan Ibrahimovich, na kwa jinsi alivyoanza namuona kabisa atafanya mambo waliyofanya akina RVP na Larson.
![]()
Even Michael Owen ndio alikuwa the Last Legend... ila si kawaida yetu...Kama sijakosea, hata Ted sheringham alikuwa veteran toka spurs.
We jamaa noumaa, takuma is pregnantNew signings
Chelsea- Batshuayi scored
Man united- Zlatan scored
Man city- Nolito scored
Liverpool- Mane scored
Spurs- Wanyama scored
Arsenal- Takuma is pregnant
![]()