Ukikaa kibanda cha mpira, kama una 35+ halafu unasikia jamaa wanasema, "Dah Rooney lishazeeka, Ibra na uzee huu anatupia tu"...unajihisi na wewe umekuwa mzee...
Ukiwa mwanasiasa miaka 35+ halafu upo kwenye kampeni utasikia, "Zitto, Mwigulu na January vijana kabisa" utajihisi kama bado mtoto...
Hongera mzee Ibra kwa kutupia, manure msimu umeanza vizuri.
ni kweli arifu rooney leo kaonyesha kiwango!!! nadhani morinnho kawaruhusu wachezaji wa mbele namba 10,9,7 na 11 kucheza free. ndio maana utamwona martial yuko namba saba mara rooney yuko namba 11....kitu ambacho van gal alikua hataki!!!!
Yaaah pogba ni habari nyingine kabisa, hapa man u walilamba dume