Si mbaya kwa huu ushindi.....ingawa haters watasema ushindi mdogo sana.
Man U oyeeeeee
Si mbaya sana......Bado mojaaaaaa
Ni ushindi mkubwa kwetu ila kwa wale mtaa wa pili watasema ni ushindi mdogo.......kutokana na sababu zao tu za kuichukia timu yetu pendwa......Goli 3 sio ushindi mdogo.
Ni ushindi mkubwa kwetu ila kwa wale mtaa wa pili watasema ni ushindi mdogo.......kutokana na sababu zao tu za kuichukia timu yetu pendwa......
Ngoja tuone.....Subiri uone watashinda ngapi. Zaidi ya kufungwa.
Mimi nampa MartianMan of the match nampa Mata.
Mimi nampa Martian
Naona BT SPORTS 1 & 2 hawako hewani lakini SKYSPORTS 1 wako live! Sasa wanajua ndama Arsensl v. LiverpoolDownload Mobdro — All the web’s free video streams on your Android device halafu utafute BT sports 1 au 2