Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Mwambie asiende mbalRafiki bado nahitaji uwepo wako hapa..
Mwambie asiende mbalRafiki bado nahitaji uwepo wako hapa..
Nahisi kama utabiri wako utakuwa kweli....
Aaah
Tumeshndwa cleansheet
#GGMU
Yeah inabidi iwe hvoInabidi tupanue wigo wa GD. Hawa ni wa kuwaongeza tu.
Naona mnafurahia "kwa sasa", hivi Man U haina Eve mwingine? Nataka aharibu hali ya hewa...
Naona mnafurahia "kwa sasa", hivi Man U haina Eve mwingine? Nataka aharibu hali ya hewa...
Bado mojaaaaaaNahisi kama utabiri wako utakuwa kweli....