daaaahhhUsie mtaka kascore!
huyu jamaa yuko vizuri sana!!!Baily namuelewa sana.
Mnawatandika au mnaongoza mtandikoNa ndio sababu tutawatandika haswa..
ananikumbusha enzi za vidicBaily namuelewa sana.
Kabisa anachemsha sana. Hawezi kuuthibiti mpira anapopasiwa.Rooney atoke aingie dogo Rashford...maana captain hana hata ile confidence akiwa na mpira
Mwenye link inayoonyesha hii Match msaada tafadhali
Aiseee hii defence ya Man U msimuuu mlete Ronaldo,weka Messi wote wataisoma Namba