fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
Kwani mafanikio ya kocha yanapimwa kwa kusajili wachezaji wachanga, kubania pesa ya wawekezaji au kunyanyua kwapa mara nyingi? Ibra ana mkataba wa mwaka mmoja tu, na kama ana uwezo wa kutupia golini, hata akiwa na miaka 40, sio inshu.Mou kasaini man u miaka mi3 anasajili wazee wa miaka 33 sasa kama si immediately recovery ni nini nawaza kama mtashindwa kudeliver itakuaje mtamfukuza au ndio story