Mara nyingi testimonial (kwa kumbukumbu yangu) unakuta mchezaji anakaribisha wachezaji aliwaowahi kucheza nao katika career yake na wale waliomvutia kimpira. Kama unakumbuka katika testimonial ya Paul Scholes alikaribisha wachezaji aliowahi kucheza nao na waliomvutia hata kama hawawahi kuchezea Man Utd. Nakumbuka Patrick Vieira na Brad Friedle(japo hawakuchezea Man Utd) walitinga uwanjani kucheza along side Paul Schole, Scholes aliwakaribisha. Halafu kuna wachezaji wengine huwa wanachezea timu mbili Mfano Rooney angechezea Man Utd first half afu second angechezea Everton. Nadhani Dennis Bergkamp alifanya hivi katika testimonial yake Arsenal vs Ajax (I could be wrong)