Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira bana sometime fumbo sana mmesema Rooney hafai ndo kapachika goli km vile amewasikia
Mpira bana sometimes unamfanya mtu kuwa kigeugeu ... umefurahi mkishinda mkifungwa unakuja kutoa sababu zako zile teeeehe teeehe
 
Hello ma fans wenzang wa manchester united ...kuna account ya instagram imefunguliwa mahususi kwa ajili ya mashabiki wa man utd tanzania njooni tukutane hapa tujenge umoja ambao tutaufurahia, tu commentkwa wingi na siku za usoni tunaweza kufanya mambo mazuri ikiwemo kwenda hata uwanja wa old traford. Tunataka wajue kua tanzania kuna mashabiki wengi wa timu yao wanayoipenda. Account ya instagram inaitwa ....manutz_fans
karibuni. Na karibu paul pogba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…