Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi huyu mino raiola mbona mwizi hivi....anapindishapindisha mambo...anataka wamlipe pesa ndefu hivo kwanin...mara 20 mara 10 mil uero...anazingua snaa....
Mwizi kivipi? Unataka asilipwe haki yake kama mnavyofanya huko Bongo? kumbuka hii ni biashara jamaa ni mfanyabiashara/kazi hawezi kufanya kazi yake bure kwa vile eti ni Manchester United. Manchester united means nothing to his life. Wabongo mmeshazoweshwa uzembe zembe wa kufikiria.
 
Sasa hivi nimeona ripoti ya Manchester United wanasema dogo anaumwa inaweza kuwa hizi habari ni gossip.
Hapa ndio ningeona man u wajinga....kumtoa mensah ni sawa na kutaka ya pogba yajirurudie...unamtoa bure alafu unamnunua kwa pesa nyingi...
 
Mourinho has also spoken about Fosu-Mensah, telling MUTV: "He is not so much injured."But he has this little thing that we want to be careful with given that he is young. He is separate from the group until he is 100 per cent back."
 
1469849902033.jpg
 
Walete walete, wasaga sumu hamkauki jukwaani kwetu. si muende kwenu mkawaongelee akina Takuma wenu
 
Mourinho has also spoken about Fosu-Mensah, telling MUTV: "He is not so much injured."But he has this little thing that we want to be careful with given that he is young. He is separate from the group until he is 100 per cent back."

Mkuu angalau hapa tuko pamoja,

Siyo kila siku kijani tu kijani tu, Saizi nimegundua nikikuchokonoa kule, nakusubiri huku na chupa ya wine tuyamalize...!!!!

We are red..!!

BACK TANGANYIKA
 
Sasa hivi nimeona ripoti ya Manchester United wanasema dogo anaumwa inaweza kuwa hizi habari ni gossip.

Media za UK ni kama magazeti ya shigongo.

Huwa siwaamini kabisa hadi nione kwa macho yangu anaondoka.
 
Back
Top Bottom