Nimependa ...uzi..mweupe....unaweza...endea..hata..church. ..Uzi wa mwaka huu (home and away) ni hatari...

Nafikiri mouNani aliwafundisha hesabu Manchester United itakuwaje €0 = €120?
kwa hiki kikos n Hakka Mensah na wenzake wametolewa kwa mkopo![]()
Mkuu, binafsi mimi bao naona Mensah atabaki na atampoka namba Darmian.
Unajua Mou anachopigana hivi sasa ni kuwa prove wrong wale wote wanaomsakama kuwa huwa hafanyikazi na Vijana. So ninaimani zote dogo atabaki na ku shine.
BACK TANGANYIKA
inawezekana kaachwa kutokana na majeraha![]()
£60...hizo ni kama €70 ati?
Inacheza kwenye €75/76£60...hizo ni kama €70 ati?
Chagua na wewe hiyo habari sijatoa kichwani kwangu.Chagua moja wapo ujisomee mwenyewe.
18-year-old defender close to agreeing Manchester United deal
Manchester United move to seal next deal: Dutch whizz to be offered four-year contract
Manchester United teen defender Timothy Fosu-Mensah lands mega new £20,000-a-week contract
Mourinho demands Man United board hand star new long-term deal
Chagua na wewe hiyo habari sijatoa kichwani kwangu.
Jose Mourinho 'axes nine': Bastian Schweinsteiger, Tim Fosu-Mensah, Cameron Borthwick-Jackson out
Man United fret over Timothy Fosu-Mensah exit reports [Tweets]