xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Zlatan is the legend YESS but not of Manchester united, akizidisha sana tutakua nae kwa miaka miwili then ataondoka zake, how comes tusimtendee haki mchezaji wetu bora ( ukiacha de gea) wa msimu uliopita na ambae tutakua nae muda mrefu kuliko mpita njia ambae Jersey number haina maana yoyote kwake,Unafikiri Martial angepewa taarifa ndio angekuwa comfotable ?
How Martial ana miaka 20 anaanza kulilia jezi na mchezaji mkongwe the same issue hata kwa Depay
HAKUNA MCHEZAJI YEYOTE MKUBWA KULIKO TIMU, hivo hakuna mchezaji anaeweza kuchukua namba ya mchezaji mwenzake kirahisi rahisi eti kwa sababu ana jina kubwa,