Mkuu hizi TV money zilizoingia epl ndio zinafanya wachezaji kuuzwa ghali maana karibu kila timu saiz ya epl ina hela chafu, so zile timu za ligi zingine ndio zinafaidi tv money kupitia njia hii ya transfer.Fedha ya Pogba ni nyingi sana sijui kwanini bei za kununua wachezaji zinazidi kupaa mwaka hadi mwaka.
Yah mara ya kwanza walitaka atumike kwenye dili ya pogba wawape na helaNa juan matta naskia kakubaliwa na jose morinho kuwa ataendelea kuwa naye
Source efm
Garry neville ajae yuleMkuu hizi TV money zilizoingia epl ndio zinafanya wachezaji kuuzwa ghali maana karibu kila timu saiz ya epl ina hela chafu, so zile timu za ligi zingine ndio zinafaidi tv money kupitia njia hii ya transfer.
Ukishangaa pogba na €120 mill, madrid wameambiwa watoe €115 mill kwa mchezaji wanaetaka awe wa akiba ( backup) Andres Gomez
Yah mara ya kwanza walitaka atumike kwenye dili ya pogba wawape na hela
( mata +£80) ila juve walikataa, taarifa zilizopo ni kwamba kaambiwa apiganie namba.
BTW varela kaondoka kwa mkopo kwenda e. Frankfurt ujeruman
Asipokuja?Pogba is coming back home
Asipokuja?
Teeeehe teeeehe kila la kheri
Najua tumecheza kamari nzito lakin najua hatujaliwa ni... Go go MAN U, tushachoka kuzomewa haswa sisi tunaongalia mpira mabandani
Ingekuwa zile ndogo wangeshaanza kutangaza loss.View attachment 368448
Ndio faida ya kuwa klabu kubwa