Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaa Zlatan kamjibu cantona,

"I admire Cantona, and I heard what he said. But I won't be King of Manchester. I will be God of Manchester."
 
Hahaa Zlatan kamjibu cantona,

"I admire Cantona, and I heard what he said. But I won't be King of Manchester. I will be God of Manchester."

Tungempata Zlatan akiwa na umri wa miaka 25 - 27 hakika angeweza kumfunika Cantona.
 
Hahaa Zlatan kamjibu cantona,

"I admire Cantona, and I heard what he said. But I won't be King of Manchester. I will be God of Manchester."

Huyu jamaa anamadharau sijapata kuona

Kwanini utukane Mamba kabla hujavuka mto? Anyway sawa tu, lakini si kwa kujiamini huku while uko 36+

BACK TANGANYIKA
 
.
 
Attachments

  • FB_20160719_13_16_56_Saved_Picture.jpg
    FB_20160719_13_16_56_Saved_Picture.jpg
    54.9 KB · Views: 27
Mourinho Anasema Wachezaji 22 Waliopo Kwa Sasa Ambao Kafanya Nao Mazoezi Mara 10 Mpaka Sasa Ndio Watakaoshiriki Mechi Za Tour Ya China.,Vs Borussia Dortmund Na Man City. Kina Rooney Na Wenzake Walioko Mapumziko Baada Ya Kushiriki EURO Wataungana Nao China Ila Hawatacheza Mechi Hizo.,Atawaandalia Programu Maalumu Ili Kuwaweka Fiti Kwanza.
 
Back
Top Bottom