Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ni aibu kubshana na fan wa Arsenal.Failure 100%
Ni aibu kubshana na fan wa Arsenal.Failure 100%
Ni kweli champ emb Niambie kinacho kuaminisha ubora wa mou ni kipi???Currently he is among the best coach in the world,
Endelea kushangaa Wenger mara ya mwisho kuchukua EPL imepita miaka 12.
Kama ilivyo aibu kubishana na watafuta njia timu masikini na failure EnglandNi aibu kubshana na fan wa Arsenal.
Only looking forward to well coming back Shaw the genius and seeing mikh in a red shirt.Let big expectations and dissappointing end results begin right from pre season matches!! Here we go!
Yale mashindano ya ICC
Haya ni mashindano ya Manchester United.Timu nyingine huwa zinasindikiza.Remember LVG alivyochukuwa kwa mbwembwe dunia ikasema YES ?Yale mashindano ya ICC
Let big expectations and dissappointing end results begin right from pre season matches!! Here we go!

Mkuu umeziona rula anazopiga pereira? Dogo kwenye pre season huwa anafanya vizuri sana sijui kwann hapewi muda![]()
Tumepiga mbili leo mwanzo mzuri hope mambo yataendelea hivi hivi.
Humu inatuhusu nin ...si mna uzi wenuKante he is Chelsea player