UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Kocha akiwa bingwa wa kudefence means ni butu wa kushambulia 

















Wewe wasema.. Tegemea mabadiliko makubwa sana...Matter of fact hakuna jipya mnalokusudia kutegemea toka kwa mourinho poleni
Matter of fact hakuna jipya mnalokusudia kutegemea toka kwa mourinho poleni
Natamani nicheke, ila basiMkuu, hizi combination usifosi, hiv??? Yaani na valencia ni world class??
Unaweza kunambia ni timu gani zenye record ya kubeba ubingwa ikiwa na point & magoli mengi spain na england?Kocha akiwa bingwa wa kudefence means ni butu wa kushambulia![]()
Ni aibu kwa timu kuweka matumaini makubwa kwa a 34 year old, this is terrible!!Natamani nicheke, ila basi
Wee jamaa mnafiki sana, nakumbuka kitambo ilikuwa unamponda sana JM, leo unakula matapishi yako chini umeinama!!Unaweza kunambia ni timu gani zenye record ya kubeba ubingwa ikiwa na point & magoli mengi spain na england?
Paul scholes aliporudi toka retirement alikua na miaka 37/38 najua unaelewa nini kilitokea.Ni aibu kwa timu kuweka matumaini makubwa kwa a 34 year old, this is terrible!!
Angalieni sasa, mnajilinganisha na BBC na MSN, dah, OT hakuishi vituko! Ila FUTUHI naona inawafiti sana hao HIV.
Hata van persie alipokua kwenu tuli mdisi sana, alipokuja kwetu tukamshangilia,Wee jamaa mnafiki sana, nakumbuka kitambo ilikuwa unamponda sana JM, leo unakula matapishi yako chini umeinama!!
herrera mdogo angu nakuonea huruma kwa ujio wa mou lakini Ata Kama mlikua mnaitaji haueni fasta kiasi hicho ndio mou apewe nafasi ya kuifanyia timu revamp ya wadada?? Emb nambie Ata kuja na jipya lipi tofauti na defence yake iliyo mtoa Madrid na Chelsea?? Once a failure always a failureUnaweza kunambia ni timu gani zenye record ya kubeba ubingwa ikiwa na point & magoli mengi spain na england?
Ni aibu kwa timu kuweka matumaini makubwa kwa a 34 year old, this is terrible!!
Angalieni sasa, mnajilinganisha na BBC na MSN, dah, OT hakuishi vituko! Ila FUTUHI naona inawafiti sana hao HIV.
Najua huwez kucheka mdogo angu mou ni KimeoNatamani nicheke, ila basi
Timu zote alizo fundisha mouUnaweza kunambia ni timu gani zenye record ya kubeba ubingwa ikiwa na point & magoli mengi spain na england?






herrera mdogo angu nakuonea huruma kwa ujio wa mou lakini Ata Kama mlikua mnaitaji haueni fasta kiasi hicho ndio mou apewe nafasi ya kuifanyia timu revamp ya wadada?? Emb nambie Ata kuja na jipya lipi tofauti na defence yake iliyo mtoa Madrid na Chelsea?? Once a failure always a failure
herreraIf I were cante nisingekubali kuja man u kuacha kucheza UEFA Nakuja kuhangaika kugombea top four
herrera, naona mna HIV.
Kama Mou ni failure, Anko wenger tutamuita nani?herrera mdogo angu nakuonea huruma kwa ujio wa mou lakini Ata Kama mlikua mnaitaji haueni fasta kiasi hicho ndio mou apewe nafasi ya kuifanyia timu revamp ya wadada?? Emb nambie Ata kuja na jipya lipi tofauti na defence yake iliyo mtoa Madrid na Chelsea?? Once a failure always a failure
Nadhani unaelewa jinsi HIV ilivo hatariherrera, naona mna HIV.

Nimeshangaa kitendo cha kumchukua failure pia au mou sio failureArsene Wenger ni specialist in failure,huwezi kumlinganisha na Jose Mourinho.Ulitaka tuendelee na Van Gaal ?
Sio failure.Nimeshangaa kitendo cha kumchukua failure pia au mou sio failure
Let big expectations and dissappointing end results begin right from pre season matches!! Here we go!Our squad Vs Wigan
![]()
Failure 100%Sio failure.
Nimeshangaa kitendo cha kumchukua failure pia au mou sio failure