Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Aende lipuli fc tuHuko nako hapati namba labda akafanye majaribio Ndanda fc au kimondo
Wakaanga Sumu andaeni kocha mpya wa 4 post SAF. Mourinho atafukuzwa by January...
Wanaume wamerejea kazini...naam
Mkuu tafadhali kuwa na heshima na hiyo timu ziulize simba, yanga, reli, afc arusha n.k shughuli yake pale Samora stadiumAende lipuli fc tu
Hahahaha basi nimefuta kauli yanguMkuu tafadhali kuwa na heshima na hiyo timu ziulize simba, yanga, reli, afc arusha n.k shughuli yake pale Samora stadium
[emoji2] [emoji2] [emoji41]Hahahaha basi nimefuta kauli yangu
Tunaenda china[emoji2] [emoji2] [emoji41]
Kunani tena mkuu [emoji15]Tunaenda china
Yale mashindano ya ICCKunani tena mkuu [emoji15]
Hakuna mvutoYale mashindano ya ICC