Hahaha acha hizoHakuna mvuto
Sanogo mpelekeni Yanga au Simba.
Valencia anafaa Kukaa apo au umemuwek ili mana yko itimie
Pumba kabisa





Na ninyi mmemchukua nani??? NB: usije ukasema ww ni shabiki wa leicester cityKweli mmechoka mpaka kumchukua mourinho Hahaha naona Mko ICU mnaitaji intensive care mazee tena kwa haraka maana hakuna njia nyingine isipokua kupokea huduma ya mourinho mzee wa basi sijui atakuja na jipya lipi msimu huu ambalo litawafikisha top four![]()
Matter of fact hakuna jipya mnalokusudia kutegemea toka kwa mourinho poleniNa ninyi mmemchukua nani??? NB: usije ukasema ww ni shabiki wa leicester city
Mkuu, hizi combination usifosi, hiv??? Yaani na valencia ni world class??
Huyo Vardy ataisoma namba atakapokuwa anafight relegation maana Kante ndio huyo kashasoma ramani anatimkia chelsea na pia Vardy kaogopa changamoto ya kumaintain status msimu ujao hata goli 15 hatopata.1.No competition from other clubs,
2.has CL,
3."finished above Spurs ",
4.triggered release clause,
still got rejected by vardy