Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1466094493.484103.jpg
 
1.No competition from other clubs,
2.has CL,
3."finished above Spurs ",
4.triggered release clause,

still got rejected by vardy
 
1.No competition from other clubs,
2.has CL,
3."finished above Spurs ",
4.triggered release clause,

still got rejected by vardy

A one hit wonder... We need better. Tusubiri tuone kizee chenu Ibrahimovic kitakavyokalia kigoda.
 
A one hit wonder... We need better. Tusubiri tuone kizee chenu Ibrahimovic kitakavyokalia kigoda.
One hit wonder, coz he rejected you........right?

You need better? Which one? Chicharito or lecazatte? I know you cant afford moratta with anko wenger in charge, he is still building d stadium.
 
1.No competition from other clubs,
2.has CL,
3."finished above Spurs ",
4.triggered release clause,

still got rejected by vardy

Kwenye soka kuna kitu kinaitwa LOYALTY na kuna wachezaji wako tayari kujifunga kwenye hilo,SG8 kaondoka Liverpool bila EPL ila hakua tayari kwenda UTD(by the time alikua anajua akija lazima atabeba EPL) pamoja na fundi Ferg kumshawishi sana lakini akawa Loyal kwa liverpool huo ni mfano mmoja ila ipo mingi.
Kumbuka pia:-
1.Lei wamepambana kumbakisha kaangalie mkataba wake mpya.
2.Lei pia wapo CL na ni EPL holders
3.Lei finished above Shitpurs too
Fans and media put too much ego kwa Vardy naamini kama AW angekua yuko desparate kwa Vardy basi angeweweseka kwa kuongeza offer ila alisema hawezi kusogea zaidi ya hapo na ujiulize kama kavunja kibubu kwa Xhaka kwa nini asinge mshawishi Vardy na timu yake kwa kujisogeza angalau.
 
Habari nyingi ktk magazeti ya hispania na uingereza zinaonyesha Man U na Real Madrid wapo ktk mazungumzo ya kuuziana James Rodriguez. Do you think he will be perfect fit into our team and the epl league?
 
Back
Top Bottom