Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,974
Mkuu hiyo avatar yako na ulicho andika hapa ni tofauti ni MAJI na MAFUTA ya TAA.......Mchungaji mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "MASHOGA" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"
