Mawazo yako?
Huyo mmoja sijui atakuwa nani. Ngoja nisubiri kwa hamuSafi bado mmoja.
Nilipoona hii habari fasta nikaenda MUTV labda nitaikuta interview yake nakuta wanaonesha game ya Southampton ya miaka hiyooo.
Nimecheka mpaka watu wananishangaaMicki's announcement was delayed
because he was reading all the "Welcome to Arsenal" messages from Arsenal fans.![]()
![]()
Mawazo yako?
Option...ingine..ingia..youtube....utazipata....Wapi nitapata dvd za season review za misimu iliyopita kwa hapa Dar?
Naona Mo ataturudisha kwenzi enzi zetu
Huyo mmoja sijui atakuwa nani. Ngoja nisubiri kwa hamu
Dah, cant wait aisee, excited mbaaaaya.
Namba 9 kama playing position au kama Jersey number?Hapo ni experience plus taste.
Namuona martial anachukua namba 9 permanently.
msisahau kumpigia kura kijana wetu martial amekuwa nominated kwenye cover la fifa 17
https://www.easports.com/uk/fifa/cover-vote
![]()
Wakuu naona mnafanya usajili motomoto kweli msimu huu mmepania ... kila la kheri tukutane ligi ikiianza
![]()
HahaaaaaaNaona msimu huu umepata kazi mpya