Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Huyu binaadamu mara nyingi namuona penye likes leo ushindi kashindwa kujizuia kaonekana.
Huyu binaadamu mara nyingi namuona penye likes leo ushindi kashindwa kujizuia kaonekana.
mie nampa hongera Dada yangu kipenzi everlenk tu.... wengine hasa Nzi na Belo na DonDonald tusijuane ila DonDonald timu yetu si moja? Euro16?
Woyowoyowoyo......... Woyowoyowoyo......woyowoyowoyoWoyoooooooooooooooooooooooohhhhhhhhhhh......
Leo watakuja wote kuna wanazi kibao enzi hizo yaani ulikuwa ukizembea tu kuingia humu utakuta page zimetembea balaa halafu nondo za uhakika .Huyu binaadamu mara nyingi namuona penye likes leo ushindi kashindwa kujizuia kaonekana.
Woyoooooooooo
Allan sijui alikuwa anacheza salsa ,charanga au blues ama madogoli haijulikani ila maisha yalikuja haribika baada ya muda mfupi sana.Haya maisha bwana
![]()
Sometimes hivi vitu havitakagi hasira yanii..!!
![]()
![]()
![]()
Yakaendelea mazoezi ya kunyanyua vikwapa...
![]()
![]()
Define Mata(Matter) please?
feeling is mutual,Hahaha unajua LVG alikuwa ananiboa sana kwa blunders zake unforgivable one,kuanzia kwenye team selection,subs,na tactics kwa hyo roho ilikuwa inaniuma sana kuendelea kuijadili man u iliyo chini yake,ila kwa leo kombe ndo ilikuwa priority ya kwanza,we are glad ametuwezesha hlo japo kwa tabu sana,sasa ni wakati wake ahame na kuondoka kwa hiari.Aiseee karibu mkuu tulikumiss sana Leo FA itawaleta wote...... bado Bulldog