Hivi kumbe? Sina kumbukumbu Niache kwanza nisherekeeee kifacts tutaangalia kesho.......Masahihisho. Sasa Man utd 12 FA cup wins na Asernal 12 FA cup wins.
Hiyo sio point. Point ni je FA cup ni kombe la kucelebrate? Mlitusema sana baada ya kuwagonga Hull City leo mmewafunga Palace kindondokela (ref: the equalizing goal) mna throw pompoms na matarumbeta kibao..Nyie ilikua miaka Tisa bila kombe, that's why ikaonekana kama ni small achievement
Ahhhh umeanza lini kazi ya Sheikh Yahaya ?Msimu ujao mtagombania Relegation survivor kama Chelsea walivyofanya msimu huu.

Arsenal 12Hiyo sio point. Point ni je FA cup ni kombe la kucelebrate? Mlitusema sana baada ya kuwagonga Hull City leo mmewafunga Palace kindondokela (ref: the equalizing goal) mna throw pompoms na matarumbeta kibao..
At last....weraaaaa kombe ni kombe tu hata kama la kuku...................
Watu Wa Arsenal bhana, naenda kulala na demu Wa shabiki mwenzio...Hiyo sio point. Point ni je FA cup ni kombe la kucelebrate? Mlitusema sana baada ya kuwagonga Hull City leo mmewafunga Palace kindondokela (ref: the equalizing goal) mna throw pompoms na matarumbeta kibao..
Limetutoa jasho ama kweli fainali ni fainali tu hongereni man u wote.Ahhhh umeanza lini kazi ya Sheikh Yahaya ?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ahhh usaga sumu mwingine siyo kabisa hakuna goli la kusaidiwa hapo ....Hiyo sio point. Point ni je FA cup ni kombe la kucelebrate? Mlitusema sana baada ya kuwagonga Hull City leo mmewafunga Palace kindondokela (ref: the equalizing goal) mna throw pompoms na matarumbeta kibao..
Hahaha furaha inazidi LeoLimetutoa jasho ama kweli fainali ni fainali tu hongereni man u wote.
Ahhh Hongera na wewe nusura kitumbua kiingie mchanga. ..Limetutoa jasho ama kweli fainali ni fainali tu hongereni man u wote.
Nani kakwambia FA cup England ni sawa na kombe la kuku?
FA ndo michuano mikongwe zaidi ulimwenguni ikiwa na umri wa zaidi ya miaka 137.
Mkuu,watch your mouth.
United hureeeeeeeeeeeeeeeee
Mtani hongeraaaaaaaaa mimi nilishangaa mashabiki mmebana pumzi tafikiri hamkujuwa vile kama kombe ni lenu next time mjiamini sawa, hahahah dalili za ushindi zilikuwa ni chanya kabla hata ya match kwa kurudisha heshima ya clubNilikamiss haka kakombe jamani acha tu.........aaaaahhhhhh ........Nothing more zaid ya meno yote nje........