Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,434
- 52,907
Nimefurahi sanaaa hususani kuona vijana hawajamuangusha kocha LVG maana yani amekuwa kwenye mawazo sana huu msimu kwa kuwa aliweka jitihada za kutosha kuitetea Man U na kuiboresha, nahisi hata uzito wake LVG umepungua but finally vijana they did the best for him......nimefarijika sana nilitaka ata kudondosha chozi nikimuangalia...... Usiombe stress za ukocha