GudKwendraaaaaaaaaaaaaa........lazima kombe lije OT.
umesahau UCL litarudi nyumbani msimu ujao hahahaha.Yes.... Mabingwa wapya wa FA..... msimu ujao EPL linarudi nyumbani
#wakaangasumu watakuja juu kuhusu comment hii
Lol Nimeanza kuangalia game dakika ya 61, nilijua mtabeba.
Well done boys..!! FINALLY Kabati letu limepata kikombe kipya
FT.
CRY 1-2 MNU
Yes.... Mabingwa wapya wa FA..... msimu ujao EPL linarudi nyumbani
#wakaangasumu watakuja juu kuhusu comment hii
Nyie ilikua miaka Tisa bila kombe, that's why ikaonekana kama ni small achievementHahaha tulipolibeba mlisema FA Cup sio kombe la kushangilia, leo imekuwaje?