everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Safiiiiii unatumia kinywaji gani?Isanything that occupy space.......
Safiiiiii unatumia kinywaji gani?Isanything that occupy space.......
Mimi Leo nimevurugwa sipo kifacts kabisa mnivumilieMiwili
....duh nishampa hadi ule wa Moyea
Hahahhaha mtani kumbe saaingine una roho ya huruma?
Usiombee mtani sometime nikimwangalia usoni LVG naona kama uso unavimba stress za ukocha ziache tu kama zilivyo hahaha yani kwa kweli roho ya huruma inanijia more often...Hahahhaha mtani kumbe saaingine una roho ya huruma?
Kitwanga bardii..!"Safiiiiii unatumia kinywaji gani?
Usijali dadaMimi Leo nimevurugwa sipo kifacts kabisa mnivumilie![]()
![]()
![]()
....duh nishampa hadi ule wa Moyea
![]()
Hongera chief#Tumefika
#GGMU
![]()
![]()
![]()
![]()
hiki siyo kitakutumbulisha






Kwani wewe jipu tafuta kingine bana leo kunywa vinjwaji venye hadhi yetu ya kuchukua kombe hivyo vingine wapelekee majirani waondoe machungu yaoKitwanga bardii..!"

Yaani leo raha tuuuuu..... aiseeee hadi wewe umekuja asante FA cup leo nitawaona wanazi wote humuWatumbue tu
Raha tu leo tumebeba ndoo ya FA![]()

Kiroba kinatoshaSafiiiiii unatumia kinywaji gani?

Akuongeze tatu tena......Kila nikiirudia hii shakaza aliopiga huyu Lingard masawwe napata furaha ya ajabu.. waiter hebu niongezee KiTWANGA mbili tafadhali
Kweli wewe unahitaji kiroba maana uchungu ulionao hautakutoka mapema bila kiroba.......Kiroba kinatosha![]()
hivi mtani ulikuwa upande Wangu au CP?Rubaman unajuwa madhara ya tungi ukichanganya na bange.. Naona umetumia kiroba na bange weweHuu ushindi wa kuku umewafufua wengi hapa. Mndengereko, ulipotelea wapi?